HOLY SPIRIT EXPLOSION SEMINAR 2023/ MLIPUKO WA ROHO MTAKATIFU 2023

HOLY SPIRIT EXPLO 2023:  DPC Holy Spirit Explo 2023 Seminar will start from 22th  to 28th May 2023, from 5:00 pm to7:00 pm.

The Bible says ‘But you shall receive power when the Holy Spirit has come upon you; and you shall be witnesses to me in Jerusalem, and in all Judea and Samaria, and to the end of the earth’ Acts 1:8 (NKJV).

The seminar will start with a one-day prayer and fasting on 22th May 2022,  from 5:00 pm.  Don’t plan to miss it.

MLIPUKO WA ROHO MTAKATIFU: Semina ya mlipuko wa Roho Mtakatifu kwa mwaka 2023, itaanza tarehe 22 hadi tarehe 28 Mei 2023.

Biblia inasema, ‘Lakini mtapokea nguvu akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria na hata mwisho wa nchi,’ Matendo 1:8

Semina itatanguliwa na siku moja ya kufunga na kuomba tarehe 22/5/2023, maombi yataanza saa 11:00 jioni,usipange kukosa.

More Events

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top