DPC 21 DAYS OF PRAYER AND FASTING WK 3: THURSDAY 26/01/2022: THE CHURCH & THE NATION OF TANZANIA

DPC 21 DAYS OF PRAYER AND FASTING WK 3: THURSDAY 26/01/2022: THE CHURCH & THE NATION OF TANZANIA

  1. Pray for the Church of Christ to be built on Godly foundations.
  • Pray for the Holy Spirit to restore life and the fear of God in the Church
  • Pray against the spirit of lukewarm, spiritual decay, and false teachings
  • Pray for God to raise true ministers who will teach and preach the true gospel
    Matthew 16:18-20; 1Peter 1:16; 2 Timothy 4:3-5

    2. Pray for the Holy Spirit to help you take up your responsibilities in the church
    Pray for the Holy Spirit to strengthen you to become the salt and light of the world – Matthew 5:13-16; 1 Corinthians 4:1-2

    3. Pray for the Church of Christ to maintain unity, growth, and remain focused.
  • Pray for the leaders of DPC&PAGT for God to anoint them with new strength, wisdom, and knowledge in order to do great things – Acts 9:31; Isaiah 11:1-2

    4. Pray for the nation of Tanzania and its inhabitants.
  • Repent and pray for the mercies of God for Tanzania in areas we’ve wronged Him
  • Pray for peace, growth, and the leadership of God in the nation of Tanzania
  • Pray for the leaders in Tanzania to gain wisdom and knowledge on how to lead.
    1 Timothy 2:1-4; 2 Deuteronomy 7:14

    5. Thank God for the blessing of the Church and the Nation of Tanzania

DPC – SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA WIKI YA TATU: ALHAMIS 27/01/2022: KANISA LA KRISTO & TAIFA LA TANZANIA

  1. Ombea Kanisa la Kristo lizidi kujengwa katika misingi ya Kimungu.
    • Omba Roho Mtakatifu arejeshe uhai na hofu ya Mungu katika Kanisa
    • Kemea roho ya uvuguvugu, kupoa kiroho, na mafundisho ya uongo
    • Omba Mungu ainue watumishi wengi wanaofundisha injili ya kweli
    Mathayo 16:18-20; 1Petro 1:16; 2 Timotheo 4:3-5
  2. Omba Roho Mtakatifu akusaidie usimame katika nafasi yako katika kanisa la Kristo.
    • Omba Roho Mtakatifu akuimarishe ili uwe chumvi na nuru ya ulimwengu
    Mathayo 5:13-16; 1 Wakorintho 4:1-2
  3. Ombea kanisa lizidi kutunza umoja, kusitawi, na kusimama katika wito wake.
    • Ombea viongozi wote wa kanisa la DPC&PAGT Mungu azidi kuwavuvia nguvu mpya, hekima na maarifa ya kufanya mambo makubwa – Matendo 9:31; Isaya 11:1-2
  4. Ombea Taifa la Tanzania na watu wote katika taifa.
    • Omba msamaha na rehema za Mungu kwa ajili ya Taifa pale ambapo tumekosea
    • Ombea amani, kusitawi, na utawala wa kimungu katika Taifa la Tanzania
    • Ombea viongozi ndani ya Taifa letu wawe na hekima na maarifa ya jinsi ya kuongoza
    1 Timotheo 2:1-4; 2 Mambo ya Nyakati 7:14
  5. Mshukuru Mungu kwa ajili ya baraka ya Kanisa na Taifa letu Tanzania

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top