DPC 21 DAYS OF PRAYER AND FASTING WK 3: WEDNESDAY 26/01/2022 – FINANCE (Uchumi)

DPC 21 DAYS OF PRAYER AND FASTING WK 3: WEDNESDAY 26/01/2022 – FINANCE

  1. Pray for your finances. Ask God to bless you and give you the power/ability to prosper financially. Ask God to bless the work of your hands. Proverbs 10:22; Psalm 90:17
  2. Pray for the church. Pray for every member to prosper financially for God’s glory. Pray for God to open doors for the unemployed. Pray for God to bless the works of the employed and the entrepreneurs. Psalms 112:1-3; Deuteronomy 8:18
  3. Pray for all members and leaders to have a giving heart and to be faithful in tithings and all other offerings for the enhancement of God’s work.
    Luke 6:38; Malachi 3:10
  4. Pray for the economy of your area and city. Pray for the economy of Tanzania, for God to bless us. Pray for God to give wisdom to all government and political party leaders. Jeremiah 29:7

DPC-SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA WIKI YA TATU: JUMATANO 26/01/2022: UCHUMI.

  1. Ombea uchumi wako. Omba Mungu akubariki na akupe nguvu za kufanikiwa kiuchumi. Omba Mungu abariki kazi ya mikono yako. Mithali 10:22; Zaburi 90:17.
  2. Omba kwa ajili ya kanisa. Omba kila mshirika afanikiwe kiuchumi kwa ajili ya utukufu wa Mungu. Omba kwa ajili ya wale ambao hawana kazi Mungu awafungulie milango. Ombea wafanyakazi na wafanyabiashara ili Mungu awabariki katika kazi zao. Zaburi 112:1-3. Kumbukumbu la Torati 8:18
  3. Ombea washirika wote na viongozi wawe na moyo wa utoaji na wawe waaminifu kumtolea Mungu fungu la kumi (ZAKA) na sadaka ili kuendeleza kazi ya Bwana. Luka 6:38. Malaki 3:10.
  4. Ombea uchumi wa eneo na mji wako. Ombea uchumi wa taifa letu la Tanzania ili Mungu atubariki. Ombea viongozi wote wa serikali na vyama ili Mungu awape hekima.
    Yeremia 29:7.

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top