PRAYER & FASTING: Every third Saturday of the month we usually have a full day of prayer and fasting to pray for the church, the nation of Tanzania and other nations as well as personal needs. We will meet from 10:00 am to 1:00 pm for corporate prayer. Do not miss, and encourage someone to come we pray together.
MAOMBI YA KUFUNGA. Kila Jumamosi ya tatu ya Mwezi ni siku nzima ya kufunga na kuomba kama Kanisa. Tutakutana kuomba pamoja kwa ajili ya Kanisa, taifa la Tanzania na mataifa mengine,pamoja na mahitaji binafsi kuanzia saa 4:00 hadi saa 7:00 Mchana. Tafadhali usikose na uwahimize na wengine waje tuliitie jina la Bwana pamoja.