IJUMAA 22/10/2021 MAOMBI KWA AJILI YA FAMILIA

Huduma ya wanandoa imeandaa mpango wa siku mbili unaozingatia maswala ya kifamilia hapa DPC.
Ijumaa 22/10/2021 Maombi kwa ajili ya familia

Ujumbe: “Mimi Na Nyumba Yangu Tutamtumikia Bwana” (Yoshua 24:15)

Muda: 11:00 jioni -1:00 jioni
Mambo ya kuombea:
• Wokovu kwa ajili ya familia
• Amani na Umoja
• Baraka za Familia

More Events

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top