KARIBU KWENYE VBS (SHULE YA BIBLIA KWA WATOTO WAKIWA LIKIZO)

Karibu kwenye VBS(shule ya bibilia kwa watoto wakiwa likizo). Watapokelewa wenye umri wa miaka 3 -12! Katika VBS, watoto watajifunza ukuu wa nguvu za Mungu na kujua kina cha upendo wake kwa kila mmoja wao. Tarajia wiki iliyojaa mafunzo ya imani, muziki usiosahaulika, na matukio muhimu ambayo huwasaidia watoto kukutana na nguvu na upendo wa Mungu!

Welcome to Monumental VBS(Vacation Bible School) for children aged 3 -12 years! At Monumental VBS, kids will explore the vastness of God’s power and the depth of his love for each of them. You can expect a week full of faith discoveries, memorable music, and epic adventures that help kids encounter God’s power and love!

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top