WIKI YA VIJANA 2022 (WAEFESO 4:22-24).

WIKI YA VIJANA 2022: Wiki ya huduma ya vijana DPC itaanza Jumatatu tarehe 18/07/2022 hadi tarehe 24/07/2022. Ujumbe kwa mwaka huu ni ‘KUTOKA NJE YA GANDA’ Waefeso 4:22-24. T-shirts zenye ujumbe huu zinapatikana kwa bei nafuu. Ili kupata t-shirt yako au kuweka oda, tafadhali jiandikishe kwenye meza ya taarifa baada ya ibada. Vijana wote jiandaeni kwa wiki hii yenye nguvu na mabadiliko na umwalike kijana mwenzako.

YOUTH WEEK 2022: The Youth and Young adults of DPC will have a week of service starting from 18th July, 2022 to 24th July, 2022. The Theme for this year is ‘BREAKING OUT OF THE SHELL’ Ephesians 4:22-24. T-Shirts with this theme are available at an affordable price. To get yours or to place an order, please register at the information desk outside. All youth and young adults get prepared for this transforming week and invite a friend.

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top