MLIPUKO WA ROHO MTAKATIFU 2021

MLIPUKO WA ROHO MTAKATIFU: Semina ya mlipuko wa Roho Mtakatifu kwa mwaka 2021, itaanza tarehe 18 hadi tarehe 23 Mei 2021. Semina itatanguliwa na siku moja ya kufunga na kuomba tarehe 18/5/2021, maombi yataanza saa 11:00 jioni,usipange kukosa.

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top