PRAYER AND FASTING – DAY ONE

PRAYER AND FASTING: DAY ONE

MAIN LESSON: OH GOD STRETCH YOUR HAND. ACTS 4:26-31

  1. Ask God to stretch His hand for our health. Pray for the healing to our bodies, ask God to heal the works of our hands. Exodus15:26, Psalms137:7-9
  • Ask God to stretch His hand to our families to know God. Ask God to Stretch his hand to our relationship. Ask God to extend his hand over family’s income Acts16:31, Acts16:34.
  • Ask God to stretch out his hand in our ministry. May God to give us readiness and thirst to serve Him, Ask God to empower us with his Power in our Ministry, Acts 4:30, Acts 5:14

Maombi ya mfungo: Siku ya Kwanza

Somo Kuu: Ee Mungu, Nyosha Mkono wako

Matendo ya Mitume 4:26-31

  1. Mwombe Mungu Anyoshe mkono wake kwa Afya zetu. Omba kuhusu uponyaji wa miili yetu, omba Mungu aponye kazi za mikono yetu. Kutoka 15: 26 , Zab 137:7-8
  2. Mwombe Mungu anyoshe mkono wake kwenye familia zetu zimjue Mungu.  omba  Mungu anyoshe mkono wake kwenye  mauhusiano yetu. Omba Mungu anyoshe mkono wake kuhusu Kipato cha familia.
    Mdo 16:31, Mdo 16: 34 
  3. Mwombe Mungu anyoshe Mkono wake kwenye Huduma zetu. Mungu atupe utayari na KIU ya kumtumikia Yeye, Mwombe Mungu atuwezeshe na Nguvu zake katika huduma zetu.   Mdo 4:30, Mdo 5:14 

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top