REVIVAL (Uamsho)

DPC 21 DAYS OF PRAYER AND FASTING. THURSDAY – 13/01/2022

REVIVAL

  1. Pray for revival in your personal life, in your family, and your church – DPC.
    Pray for the spirit of prayer and seeking the Lord of hosts earnestly.
    Jeremiah 31.6-9; Zechariah 12:10; 1Thessalonians 5:16-18

  2. Pray for revival in all the churches of PAG Tanzania and the entire church worldwide.
    Pray that you will be filled with the Holy Spirit and experience the manifestation of the power of God in your individual life, family members, DPC members and the church at larger – Acts 1:8; 2:17-18
  3. Pray for the gifts and talents of the Holy Spirit to function in the church – DPC&PAG.
    Pray for all the services to overflow the anointing of the Holy Spirit and cause salvation to the unbelievers, those who are bound to be set free, and believers to be filled with the Holy Spirit – Acts 2:1-13; 1Corinthians 12: 1-11

Maombi Week – 1. Alhamisi – 13/01/2022

UAMSHO

1.Omba Uamsho katika maisha yako, nyumbani mwako, na kanisa lako – DPC.Ombea roho ya maombi na kumtafuta Bwana wa majeshi kwa bidii.
Yeremia 31.6-9; Zekaria 12:10; 1Wathesalonike 5:16-18


2. Omba Uamsho katika makanisa yote ya PAG Tanzania na mwili wa Kristo kwa ujumla.
Omba ujazo wa Roho Mtakatifu na udhihirisho wa nguvu za Mungu katika maisha yako, familia yako, familia ya DPC na kanisa kwa ujumla – Matendo 1:8; 2:17-18.

3. Omba Karama na Vipawa vya Roho Mtakatifu kutenda kazi katika kanisa – DPC&PAG.

Ombea ibada zote ziwe na uvuvio wa nguvu za Mungu ili watu waokolewe, waliofungwa wafunguliwe na watu wajazwe nguvu za Roho Mtakatifu.


Matendo 2:1-13; 1Wakorintho 12: 1-11

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top