SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA – (MONDAY 16 JANUARY 2024) KUTII AGIZO KUU KWA UHARAKA KAMA MWAMINI NA KAMA KANISA

SOMO: KUTII AGIZO KUU KWA UHARAKA KAMA MWAMINI NA KAMA KANISA.

SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA – JUMATATU 16 JANUARI 2024 SIKU YA 9

SOMO: KUTII AGIZO KUU KWA UHARAKA KAMA MWAMINI NA KAMA KANISA.

Isaya 66: 18-19, Isaya 6: 8, Mathayo 28:18-20,

  1. Mwombe Mungu akupe UTAYARI wa kulipokea na kulitii AGIZO kuu
    Rumi 1: 16, Marko 16:15
  2. Mwombe Mungu akupe kutambua WAJIBU wako na kuufanyia kazi kwa majira yake. 1 Kor 9:16. Warumi 13:11, Mdo 13:36
  3. Mwombe Mungu AKUWEZESHE katika kazi yake aliyokuitia kuifanya. Yer 48:10
  4. Mwombe Mungu kwamba kila mwamini aliyepo kanisani AWE BALOZI mwaminifu wa Injili. 2 Cor 5:20, Luka 10: 2.
  5. Mwombe Mungu AKUTUMIE kama Chombo chake kuwafikia wengi kwa injili. Marko 16:20, Mdo 11:20 – 22

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top