Siku 21 za Kufunga na Kuomba: Jumanne – 23.01.2024, UCHUMBA, NDOA NA FAMILIA

DPC- Siku 21 za Kufunga na Kuomba: Jumanne – 23.01.2024

Ombi Kuu: UCHUMBA, NDOA NA FAMILIA

1. Ombea mafanikio, neema na baraka za Mungu kwa ajili ya NDOA na FAMILIA yako wewe mwenyewe – 3 Yohana 1:1-4 

2. Ombea mahusiano na UCHUMBA wa vijana wetu tulionao nyumbani na kanisani uwe na hatima njema – Ruthu 3:11, 13-17

– Roho Mtakatifu awaongoze wapate wachumba sahihi 

– Waendeshe uchumba wao katika njia ya kimungu hadi kufikia ndoa 

– Waombee walioumizwa kwenye mahusiano uponyaji kisha kuendelea mbele

3. Ombea NDOA na FAMILIA za washirika wa DPC na ndugu zako pia – 1Petro 3:1-9

– Vijana wengi wa DPC mwaka huu waingie katika ndoa takatifu

– Watu wote tuwe na ndoa na familia imara zinazo mpenda Mungu  

– Ombea upendo, utii, upole, heshima, huruma, unyenyekevu, amani, …

– Ndoa na familia zetu zilindwe na kufanikishwa na Mungu mwenyewe

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top