SIKU YA 10 – SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA

Siku 21 za Kufunga na Kuomba: Jumatano 18th January, 2023.

Ombi Kuu: FAMILIA

  1. Ombea familia yako na ndugu zako wengine:
    – Kuimarika katika imani, kutenda haki, na utumishi kwa Mungu – Mwanzo 7:1
    – Mafanikio – afya, upendo, amani, umoja, uchumi, elimu, ndoa – 3 Yohana vs. 1-4
  2. Ombea baraka za Mungu juu ya ndoa yako, watoto, na wazazi wako – Ezekiel 22:30
  3. Kemea nguvu za giza na upinzani wa adui juu ya familia yako – 2 Wakorintho 10:3-5

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top