SIKU YA 15 – SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA

SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA: 

JUMATATU 23 JANUARI 2023 

OMBI KUU: WANAUME

  1. Ombea wanaume wote wasimame katika nafasi zao katika familia, kanisa, na jamii.
     Wakorintho 16: 13; Waefeso 5:28-31 
    Omba kwamba wawe na upendo kwa familia zao
    Omba kwamba wawe viongozi bora wa familia zao 1Timotheo 4:12
    Omba kwamba waweze kutimiza wajibu wao kwa familia, kwa kanisa, kwa jamii na taifa. 
    Ombea wanaume wasiokuwa na kazi Mungu awafungulie milango wapate kazi.

2. Ombea viongozi wa idara ya wanaume katika kanisa la DPC na PAG (T).
 Timotheo 2:8; 1 Wakorintho 15:58

Omba kwamba Mungu awape ufahamu, maarifa na hekima itokayo kwa Mungu katika uongozi wao Joshua 1:8 – 9

3. Ombea wagane ili Mungu awasaidie na kuwahudumia. Psalm 147:3: Isaya 40:31

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Discussion

  1. PETER DANIEL KASWA

    Tunazidi kumuona YEHOVA katika maombi haya

Back to top