SIKU YA 12 – SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA

SIKU 21 ZA MAOMBI YA KUFUNGA

WIKI YA PILI- IJUMAA TAREHE 20/1/2023

OMBI KUU- VIJANA

  1. Omba Mungu  awainue vijana kwenye huduma na masomo (1Yohana 2:14)
    -Omba ajira kwa vijana
    -Omba kila kijana wa DPC alitii na kulifuata neno la Mungu (Zaburi 119:9-11)
    -Omba kwa ajili ya viongozi wa vijana ili watimize kusudi la Mungu 
  2. Omba ndoa kwa ajili ya vijana wa kike na wa kiume, wapate wenza sahihi kutoka kwa  Bwana
         (Mithali 19:14; Mwanzo 2:18)
  3. Omba kwa ajili ya vijana ambao ni yatima Mungu awainulie watu sahihi wa kuwasaidia (Yohana 1:27)

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top