SIKU YA 19 – SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA

SIKU 21 ZA MAOMBI YA KUFUNGA

WIKI YA TATU – IJUMAA TAREHE 27/1/2023

OMBI KUU: VIONGOZI WA KANISA

  1. Ombea viongozi wote wa kanisa la DPC na viongozi wote wa PAG Tanzania.
    Ombea afya zao  na omba ulinzi Omba Mungu alinde familia zao, ombea ndoa zao na  watoto wao. (Waefeso 6:17-20; Wakolosai 4:2-4).
  2. Ombea viongozi wetu  kwamba  Mungu awawezeshe katika huduma.
    Omba hekima, busara ubunifu na ujasiri katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.
    Ombea mpango mkakati wa kanisa la PAG Tanzania. (1Wafalme 3:5-14; Yoshua 1:6-9). 
  3. Omba kwa ajili ya ibada zetu
    Ibada za asubuhi na jioni (ibada ya kusifu na kuabudu)
    Omba uwepo wa Mungu katika ibada zetu, omba watu wakutane na Mungu.(Mathayo 18:20)

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top