WEWE NI WAKILI WA SIRI ZA MUNGU 

WEWE NI WAKILI WA SIRI ZA MUNGU.
1Wakorintho 4:1 – 2; Warumi 14:12 

Maneno muhimu: (Bible Dictionary)

  • Mtumishi – Gk hyperetes mtu anaefanya kazi chini ya mamlaka ya mwingine na kutekeleza majukumu aliyopewa na mwenye mamlaka.
  • wakili – Gk  kutoka “oiko” nyumba and “nomos” kusimamia. 
  • wakili  – “oikonomos” aliyepewa dhamana kusimamia mali au rasilimali ambazo si zake, bali amekabidhiwa na bwana wake. 
  • siri –  Gk Mysterion – jambo au kitu kilichofichwa au jambo ambalo halijajuikana kwa wengine mpaka lifunuliwe. 
  • Sisi ni watumishi na mawakili wa siri za Mungu (1Cor.4:1)
  1. TAMBUA KILE MUNGU ALICHOKUKABIDHI 1Wakorintho 4:1; Waefeso 3:7 – 8; 1Petro 4:10  
  • Paulo alitambua alichokabidhiwa – Injili ya Kristo kwa mataifa. 

Ephesians 3:7 – 8   

7 Injili ambayo nilifanywa mhudumu wake, kwa kadri ya kpawa cha neema ya Mungu niliyopewa …kuwahubiri mataifa… 

  • Inakupasa kutambua huduma yako.

    2. UWE MWAMINIFU KATIKA KILE MUNGU ALICHOKUKABIDHI 1Wakorintho 4:2; Warumi 12:6 – 8
  • Hapo tena ianayohitajika katika wakili, ndiyo mtu aonekane mwaminifu(1Kor. 4:2). 

Mifano ya watu waliofanya kwa uaminifu: 

  1. Musa – uongozi na alifanya kwa uaminifu Kutoka 3:10 – 12
  2. Yusufu – utawala na alifanya kwa uaminifu na uadilifu Mwanzo 41:39 – 41. 
  3. Ruth – Kumuangalia mjane na alifanya kwa moyo Ruth 2:11 – 17.   
  4. Paul – Injili na alifanya kwa uaminifu mpaka kufa  Matendo 20:24.

3. UTATOA HESABU YA KILE MUNGU ALICHOKUKABIDHI 

Warumi 14: 12; Luka 12:47 – 48; Matthayo 25:21 

  • Utatoa hesabu ya maisha yako. 
  • Utatoa hesabu ya watoto Mungu aliokukabidhi. 
  • Utatoa hesabu ya karama na vipawa Mungu alivyokupa. 
  • Utatoa hesabu ya muda, mali, nafasi yako, huduma nk. 

Conclusion

  • Kila mtu na awe mwaminifu kwa kile alichopewa. 
  • Bwana wetu, Yesu Kristo aweze kuseme VEMA MTUMWA MWEMA!!!
  • Na kama hujawa mtumwa mwema, omba Mungu akusaidie.
×Note: To download, click the button. If it doesn't work, right click, then click "Save Link As." Download only works if media is stored within this site. Download Video

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top

Share with