21 DAYS OF PRAYER AND FASTING – WEEK TWO TUESDAY. 18/01/2022: OUR PLANS (MIPANGO)

21 DAYS OF PRAYER AND FASTING – WEEK TWO TUESDAY. 18/01/2022: OUR PLANS

  1. Pray and commit to the Lord all your plans for the year 2022.
    • Ask the Holy Spirit to guide, teach and help you fulfil your plans according to His will. Psalms 37:4-5; Proverbs 16:1-3

• Pray for God’s wisdom and understanding so that you will know how to carry out your plans according to God’s will. 1 Corinthians 2:9-12

2. Pray for DPC plans for the year 2022. Pray that all our plans will be established by God and give us success.

•Pray for all ministries and departments at DPC, that all plans will align with God’s purpose. Pray for God’s wisdom, understanding and knowledge so that we know how to execute all the plans according to God’s will.

•Pray for DPC development projects. Pray for the building projects, purchasing of the sound system, new chairs and etc.
Proverbs 16:9, Psalms 32:8, 37:23

3. Pray for PAGT that all the plans for this year are aligned with God’s purpose. With God’s help, we will do great things.

• Pray for God’s wisdom and understanding upon PAGT leaders, to have knowledge from God on how to execute the ten-year strategic plan for 2021-2030.

• Pray for all meetings from the local church level to the national level that all decisions will be guided by the Holy Spirit and that we will succeed in whatever we do with God’s help.
Jeremiah 29:11-12, Philippians 2:13, 4:13

SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA – WIKI YA PILI JUMANNE 18/01/2022: MIPANGO

1.Ombea na mkabidhi Mungu mipango yako ya mwaka huu.

• Omba Roho Mtakatifu akuongoze, akufundishe na akusaidie kutimiza mipango sawasawa na mapenzi yake. Zaburi 37:4-5; Mithali 16:1-3

• Omba hekima na ufahamu wa ki Mungu ili ujue namna ya kutekeleza mipango yako sawa na mapenzi ya Mungu.
1 Wakoritho 2:9-12

2.Ombea mipango ya kanisa la DPC kwa mwaka 2022. Mipango yetu yote ifanikiwe sawasawa na mapenzi ya Mungu

• Ombea mipango ya huduma na idara zote za kanisa ziendane na mapenzi ya Mungu. Omba hekima ya Ki Mungu, Ufahamu na maarifa ya kujua namna ya kutekeleza mipango sawasawa na mapenzi ya Mungu.

• Ombea miradi ya maendeleo ya kanisa. Ombea mradi wa ujenzi, ununuzi wa vyombo vya muziki, viti, nk. Mithali 16:9, Zaburi 32:8, 37:23

3.Ombea mipango yote ya Kanisa la PAG Tanzania. Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu

• Omba Hekima ya Ki Mungu na ufahamu kwa viongozi wote wa PAGT ngazi zote, wawe na maarifa ya kutekeleza mpango mkakati wa PAGT wa miaka kumi 2020-2030.

• Ombea vikao vyote vya viongozi kuanzia ngazi ya kanisa hadi taifa ili maamuzi yote yaongozwe na Roho Mtakatifu. Omba Mungu afanikishe mipango yote.Yeremia 29:11-12; Wafilipi 2:13, 4:13; Daniel 2:21

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top