GROWING IN THE KNOWLEDGE OF GOD (KUKUA KATIKA KUMJUA MUNGU)

21 DAYS OF PRAYER AND FASTING
SATURDAY 15/01/2022: GROWING IN THE KNOWLEDGE OF GOD

  1. Pray that you will grow in the knowledge of God and become a faithful follower and disciple of Jesus.
    • Pray for the Holy Spirit to help you abide in the Word and grow in the knowledge of God.
    2 Peter 3:17-18; John 8:31-32
    • Pray for the Holy Spirit to strengthen you in your inner being and to have a close relationship with God.
    Ephesians 3:14-19, John 15:1-8
  2. Pray for all members in DPC, and the body of Christ in Tanzania
    • Pray for the thirst and a heart to study God’s Word and to be doers of the Word.
    Acts 17:11; James 1:22; Matthew 7:24-27
    • Pray for the fear of God in the Church. Pray for members to live holy according to God’s Word.
    1 Peter 1:15-16; Ephesians 5:1-5
  3. Pray for the Department of Education and Training in the PAGT church from the local church level to the National level so that it will be strong and that Christians will grow and become grounded in the right doctrine and grow in faith.
    2 Timothy 3:14-17
    • Pray for Discipleship classes. Pray that people will be thirsty to learn the Word and be motivated to join Discipleship classes.
    • Acts 2:41-42
    • Pray for PAGT Bible colleges. Pray for efficiency in Bible colleges and the working of the Holy Spirit in transforming the lives of ministers.
    • Pray for the establishment of Christian schools to bring about transformation and impact in the community.
    Matthew 28:19

SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA

JUMAMOSI 15/01/2022: KUKUA KATIKA KUMJUA MUNGU

  1. Omba ukue katika kumjua Mungu na uwe mfuasi na mwanafunzi mwaminifu wa Yesu Kristo.
    • Omba Roho Mtakatifu akusaidie ukae katika Neno na ukue katika maarifa ya Mungu. 2 Petro 3:17-18; Yohana 8:31-32
    • Omba Roho Matakatifu akutie nguvu katika utu wako wa ndani na uwe na ushirika wa karibu na Mungu.
    Waefeso 3:14-19, Yohana 15:1-8
  2. Ombea Washirika wote katika kanisa la DPC, na mwili wa Kristo Tanzania
    • Omba kiu na moyo wa kujifunza Neno la Mungu na wawe watendaji wa Neno. Matendo 17:11, Yakobo 1:22, Mathayo 7:24-27
    • Omba hofu ya Mungu na kumcha Mungu katika Kanisa. Ombea washirika waishi maisha matakatifu sawa na Neno la Mungu.
    • 1 Peter 1:15-16. Waefeso 5:1-5
  3. Ombea Idara ya Elimu na Mafunzo katika kanisa la PAGT kuanzia ngazi ya kanisa mpaka Taifa ili iwe imara na wakristo wakue na wawe imara katika mafundisho yaliyo sahihi na kukua katika imani.
    • 2 Timothy 3:14-17
    • Ombea madarasa ya kukua kiroho (Discipleship classes). Watu wawe na kiu ya kujifunza neno na msukumo wa kujiunga na madarasa ya kukua Kiroho.
    Matendo 2:41-42
    • Ombea vyuo vya Biblia vya PAGT. Ombea ufanisi katika vyuo vya Bibilia utendaji wa Roho Mtakatifu katika kubadilisha maisha ya watumishi.
    • Ombea shule za Kikristo kuanzishwa ili kuleta mabadiliko na mguso katika jamii. Mathayo 28:19.

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top