SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA – 11 JANUARI 2024. KUOMBEA KANISA

DPC – SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA – 11 JANUARI 2024: Ombi Kuu:  KUOMBEA KANISA

  1. DPC- Ombea Kanisa la DPC katika ujumla wake

– Kanisa liongezeka Kiroho na katika idadi

– Kanisa pawe mahali pa watu kukutana na Mungu 

– Kanisa litimize kusudi la Mungu – 2024

– Ombea watumishi wote na idara zote Kanisa 

– Wachungaji wote na familia zao

– Wazee wa Kanisa na viongozi wa idara 

– Mungu ainue watumishi zaidi kanisani 

  • Ombea washirika wote Kanisani na familia zao 

– Waimarike katika imani

– Wamtumikie Mungu zaidi

– Mungu akutane na mahitaji yao  

Mathayo 16:16-18, Luka 10:1-3, Mathayo 6:7-8

2. PAGT Ombea uchaguzi wa viongozi mwaka huu ndani ya PAGT

  • Mungu atupe viongozi wanaotoka kwake watakaofaa kuliongoza kanisa 
  • Wapiga kura wote waongozwe na Roho wa Mungu ili kuchagua viongozi sahihi katika ngazi zote.
    Matendo 1:24-26, Warumi 8:14

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top