MKUTANO WA VIJANA WA KUNYWA KAHAWA 6 MARCH 2022

HUDUMA YA VIJANA: Huduma ya Vijana inawakaribisha vijana kwenye Kikao cha Kunywa Kahawa Jumapili Tarehe 6 Machi 2022. Vijana wote wenye umri kati ya miaka 18 hadi 35 kuhudhuria kikao cha kahawa bila gharama yoyote. Sehemu ya kukutania ni kwenye Hema karibu na ofisi za kanisa mara baada ya ibada ya pili

More Events

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top