MAOMBI YA KUFUNGA NA KUOMBA – JUMAMOSI 22/7/2023

MAOMBI YA KUFUNGA NA KUOMBA – JUMAMOSI 22/7/2023

  1. Ombea mahitaji yako binafsi
    Mshukuru Mungu kwa uaminfu wake kwako na kwa familia yako
    Ombea mahitaji yako ya kiroho – kukua kiroho, uamsho, uaminifu kujitoa kwa Mungu na katika huduma – 2Nyakati 34: 1 – 3
    Ombea mahitaji ya kimwili, afya, ulinzi, mafanikio.  Marko 10: 46 – 52; 1Samuel 1:10 – 11  
    Ombea mahitaji ya familia yako.  Ayubu 1:5; Mwanzo 18:23 – 33; Marko 5: 22 – 24  
  2. Ombea taifa laTanzania
    Omba amani, utulivu, hali ya hewa, uchumi, na mafanikio katika taifa la Tanzania. 2Nyakati 7:14; Daniel 9: 3 – 4
    Omebea watu wote wanaoishi Tanzani  
    Ombea viongozi wa Tanzania – hofu ya Mungu kwa viongozi wetu, utawal bora, haki.
    Ombea mihili yote ya taifa – serikali, bunge, hahakama 
    Omba injili ifikie jamii zote za watanzania. Warumi 10:1; Matendo 16: 15
  3. Ombea mataifa Jirani na Tanzania
    Ombea amani utulivu na hali za kisiasa katika mataifa Jirani.Yeremia 29:7; 1 Timotheo 2: 1 – 2; Zaburi 122:6
    Ombea uchumi wa mataifa jirani
  4. Ombea mataifa ya ulimwengu
    Ombea nchi zilizo na vita – Zaburi 46:9; Isaya 2:4
    Ombea uchumi wa dunia na mabadiliko ya tabia ya nchi. 
    Wafilipi 4:19; Zaburi 113: 4 – 9 

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top