MAOMBI YA KUFUNGA YA KATIKATI YA MWAKA – ALHAMIS JULAI 20, 2023

ALHAMISI JULAI 20, 2023

MAOMBI YA KUFUNGA YA KATIKATI YA MWAKA – DPC

ALHAMISI JULAI 20, 2023

SOMO KUU: INUA DPC MBELE ZA MUNGU.

1Wafalme 8: 28 – 30

1Wafalme 9:3

Ombi la Kwanza

  • Omba DPC pawe ni mahali pa Kumwabudu Mungu. Zab 84:1
  • Watu wote wakutane na uwepo wa Mungu. Mwanzo 28:16-17
  • Omba Bwana akutane na mahitaji ya kila mmoja, Hagai 2:9 

Ombi la Pili

  • Omba washirika wote wa DPC na washirika wa makanisa mengine, Kulipenda na kulizingatia Neno la Mungu. Zaburi 19:9-10
  • Watulie katika kanisa la mahali. Efeso 4: 14-15, Hosea 4:6, Zab 119:15-16, Math 22: 29,  Marko 12:24

Ombi la Tatu

  • Ombea Huduma zote za DPC
  • Viongozi wote wa DPC : Wachungaji, Wazee wa Kanisa, Viongozi wa Idara 
  • Idara zote zilizopo DPC: Wanawake, Vijana, Wanaume, Shule ya watoto ya Jumapili, Uinjilisti, Kamati ya maendeleo, Huduma ya wanandoa, Wanamaombi, 35 degrees, Wahudumu, Habari, Idara ya Kuabudu  n.k.
  • Mungu awawezeshe. Wafilipi 4:13
  • Wahimizane na kutiana Moyo. Isaya 41:6-7

Ombi la Nne

Omba kwa ajili ya Miradi ya DPC.

Mradi wa Ujenzi,  Mradi wa Viti,  Mradi wa kanisa la Dodoma, 

Zab 90:17 

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top