MAOMBI YA WIKI MOJA YA KUFUNGA NA KUOMBA –ALHAMISI 7 JULAI 2022.

MAOMBI YA WIKI MOJA YA KUFUNGA NA KUOMBA –ALHAMISI 7 JULAI 2022.

SALA YA BWANA – Mathayo 6:9-13

1. MAOMBI YA KUMTUKUZA MUNGU

– Mtukuze Mungu kwa ajili ya maisha yako, kazi yako, na familia yako (1Mambo ya Nyakati 16;28-29 ; Isaya 42:8)

2. UFALME WA MUNGU

– Omba ufalme wa Mungu utawale maisha yako 

– Vunja nguvu za giza na kupinga nguvu za shetani (Yakobo 4:7; 1Petro5:8-9)

3. MAHITAJI( RIZIKI)

– Ombea mahitaji yako binafsi na Mungu ni mwaminifu atafanya.( Yohana 14;13, Wafilipi 4:6-7. Mathayo 7:7-11)

– Ombea mahitaji ya Kanisa letu DPC.

– Ombea watu wote wenye mahitaji katika Kanisa; Mungu awabariki na akutane na mahitahi yao ya kila  siku (Wagalatia 6:2)

–  Omba mapenzi ya Mungu  katika maisha yako (1Yohana 5:14)

4. ULINZI WA MUNGU (Mathayo 6:13)

– Omba Bwana akupiganie maana vita ni yake (Kutoka 14:14)

– Omba Bwana alinde  afya yako, kazi yako na familia yako (Isaya 54:17; Warumi 8:31)

MSHUKURU MUNGU NA KUMTUKUZA KWA AJILI YA MAOMBI HAYA (Mathayo 6:

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top