MUNGU NI KIMBILIO LETU NA NGUVU

KITABU ZABURI 46:1-3,10-11
Mungu ni kimbilio letu na nguvu yetu; yeye ni msaada wetu daima wakati wa taabu. 2 Kwa hiyo hatutaogopa chochote, dunia ijapoyeyuka na milima kutikisika kutoka baharini; 3 hata kama bahari ikichafuka na kutisha, na milima ikatetemeka kwa machafuko yake.

Zaburi 46:10-11 Asema: “Nyamazeni na kujua kuwa mimi ni Mungu! Mimi natukuka katika mataifa yote; mimi natukuzwa ulimwenguni kote!” 11Mwenyezi-Mungu wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni kimbilio letu.

I. Mungu ni msaada wako katika shida. Zaburi 46:1,7,11

Zaburi 46:1 Mungu ni kimbilio letu na nguvu yetu; yeye ni msaada wetu daima wakati wa taabu.
7 Mwenyezi-Mungu wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni kimbilio letu.
11 Mwenyezi-Mungu wa majeshi yu pamoja nasi, Mungu wa Yakobo ni kimbilio letu.

II. Mambo yatabadilika lakini Bwana Atatusaidia
Zaburi 46:2-3 Kwa hiyo hatutaogopa chochote, dunia ijapoyeyuka na milima kutikisika kutoka baharini; 3 hata kama bahari ikichafuka na kutisha, na milima ikatetemeka kwa machafuko yake.

×Note: To download, click the button. If it doesn't work, right click, then click "Save Link As." Download only works if media is stored within this site. Download Video

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top