POKEA UWEZA WA KIUNGU KWA AJILI YA HATIMA YAKO

POKEA UWEZA WA KI MUNGU KWA AJILI YA HATIMA YAKO

2 PETRO 1:3-4 Kwa kuwa uweza wake wa Uungu umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe. 

2Pe 1:4  Tena kwa hayo ametukirimia ahadi kubwa mno, za thamani, ili kwamba kwa hizo mpate kuwa washirika wa tabia ya Uungu, mkiokolewa na uharibifu uliomo duniani kwa sababu ya tamaa

  • Nguvu ya Kiungu hutoka kwa Roho mtakatifu
  • Nguvu ya Kiungu imetukirimia vitu vyote vipavyo uzima na utaua
  • Kupitia nguvu ya Ki Mungu tunakwa washirika wa tabia ya Ki Mungu.
  • Nguvu ya ki Mungu hutuwezesha kuishi maisha ya ushindi. 
  • Tunahitaji nguvu ya Ki Mungu kutimiza kusudi la Mungu hapa duniana.

KUTIWA NGUVU NA ROHO MTAKATIFU

  1. JAZWA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU

MATENDO 1:4-5

1:4  Hata alipokuwa amekutana nao aliwaagiza wasitoke Yerusalemu, bali waingoje ahadi ya Baba, ambayo mlisikia habari zake kwangu; 

1:5  ya kwamba Yohana alibatiza kwa maji, bali ninyi mtabatizwa katika Roho Mtakatifu baada ya siku hizi chache. 

1:8  Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi. 

  • Yesu alisema mstoke mpaka mmepokea nguvu za Roho mtakatifu
  • Ndipo mtaweza kuwa mashahidi wangu.
  • Mtaweza kushinda

MATENDO  2:1-4 

ct 2:1  Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja. 

Act 2:2  Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi. 

Act 2:3  Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao. 

Act 2:4  Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka. 

  • Roho mtakatifu aliwajaza nguvu za Ki Mungu  ms e
  • Ujazo wa Nguvu za Roho mtakatifu . Matendp 2:38-39

ct 2:38  Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu. 

Act 2:39  Kwa kuwa ahadi hii ni kwa ajili yenu, na kwa watoto wenu, na kwa watu wote walio mbali, na kwa wote watakaoitwa na Bwana Mungu wetu wamjie.

  • Unapojazwa nguvu za Roho Mtaktifu, ROHO MTAKATIFU HUKUSAIDIA  KUABUDU  katika roho na kweli. Ms 2:11
  • Walipo jazwa nguvu za Roho mtaktifu walinena kwa lugha mpya
  • Unapo omba kwa lugha mpya unaongea na Mungu
  • Unaongea   mambo ya siri katika roho yaka
  • Hujijenga nafsi yake
  • Walipojazwa nguvu za Roho mtakatifu maisha yao yalibadiliswa,
  • ONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU 

ROMANS 8:13-14

Rom 8:13  kwa maana kama tukiishi kwa kufuata mambo ya mwili, mwataka kufa; bali kama mkiyafisha matendo ya mwili kwa Roho, mtaishi. 

Rom 8:14  Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu. 

  • Wana wa Mungu huongozwa na Roho Mtakatifu hawaongozwi 
  • Wote walio mpokea Yesu wamefanyika watoto wa Mungu, wamezaliwa Kwa Roho Mtkatifu.
  • Roho mtaktifu huwapa nguvu ya kushinda dhambi, hawako tena chini ya sharia ya dhambi.

TUMEPEWA NGUVU YA KUSHINDA DHAMBI

Rom 8:1  Sasa, basi, hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu. 

Rom 8:2  Kwa sababu sheria ya Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti.

ISHI KWA KUFUATA MATAKWA YA ROHO MTAKATIFU

Wagalatia 5:16 Basi nasema, Enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.

Wagalatia 3:24-25

Gal 5:24  Na hao walio wa Kristo Yesu wameusulibisha mwili pamoja na mawazo yake mabaya na tamaa zake. 

Gal 5:25  Tukiishi kwa Roho, na tuenende kwa Roho. 

  • TUMIWA NA ROHO MTAKATIFU

Matendo  6:3

Act 6:3  Basi ndugu, chagueni watu saba miongoni mwenu, walioshuhudiwa kuwa wema, wenye kujawa na Roho, na hekima, ili tuwaweke juu ya jambo hili; 

Matendo 6:5-6

ct 6:5  Neno hili likapendeza machoni pa mkutano wote; wakamchagua Stefano, mtu aliyejaa imani na Roho Mtakatifu, na Filipo, na Prokoro, na Nikanori, na Timoni, na Parmena, na Nikolao mwongofu wa Antiokia; 

MATENDO 6:8

Act 6:5  Neno hili likapendeza machoni pa mkutano wote; wakamchagua Stefano, mtu aliyejaa imani na Roho Mtakatifu, na Filipo, na Prokoro, na Nikanori, na Timoni, na Parmena, na Nikolao mwongofu wa Antiokia; 

  • Roho Mtakatifu hutupa uwezo wa kufanya mambo Zaidi ya uwezo wa Kibinadamu
  • Hutupa karama za kiroho ili tutumike kwa kiwango cha Ki Mungu

ROHO MTAKATIFU HUTUPA NGUVU ZA KUTUWEZESHA KUSHINDA CHANGAMOTO NA VIZUIZI

MATENDO 13:6-12 

ct 13:6  Walipokwisha kupita katikati ya kisiwa chote mpaka Pafo, wakaona mtu mmoja, mchawi, nabii wa uongo, Myahudi jina lake Bar-Yesu; 

Act 13:7  mtu huyu alikuwa pamoja na liwali Sergio Paulo, mtu mwenye akili. Yeye liwali akawaita Barnaba na Sauli waje kwake, akataka kulisikia neno la Mungu. 

Act 13:8  Lakini Elima, yule mchawi (maana ndiyo tafsiri ya jina lake), akashindana nao, akitaka kumtia yule liwali moyo wa kuiacha ile imani. 

Act 13:9  Lakini Sauli, ambaye ndiye Paulo, akijaa Roho Mtakatifu, akamkazia macho, 

Act 13:10  akasema, Ewe mwenye kujaa hila na uovu wote, mwana wa Ibilisi, adui wa haki yote, huachi kuzipotoa njia za Bwana zilizonyoka? 

Act 13:11  Basi, angalia, mkono wa Bwana u juu yako, nawe utakuwa kipofu, usilione jua kwa muda. Mara kiwi kikamwangukia na giza, akazunguka-zunguka na kumtafuta mtu wa kumshika mkono na kumwongoza. 

Act 13:12  Ndipo yule liwali, alipoyaona yaliyotendeka, akaamini, akiyastaajabia mafundisho ya Bwana. 

ROHO MTAKTIFU HUKUPA NGUVU YA KUHAMISHA MILIMA

 Zakaria 4:6-7 

 ec 4:6  Akajibu akaniambia, akisema, Hili ndilo neno la Bwana kwa Zerubabeli, kusema, Si kwa uwezo, wala si kwa nguvu, bali ni kwa roho yangu, asema Bwana wa majeshi. 

Zec 4:7  Nani wewe, Ee mlima mkubwa? Mbele ya Zerubabeli utakuwa nchi tambarare; naye atalileta lile jiwe la kuwekwa juu kabisa pamoja na vigelegele vya, Neema, neema, ilikalie. 

POKEA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU

  • Uwe na kiu ya kupokea
  •  Kama haujaoka mwamini yesu na umopokee kama mwokozi wa maisha yako.
  • Uwe na Imani ya kwamba ukiomba utapokea
×Note: To download, click the button. If it doesn't work, right click, then click "Save Link As." Download only works if media is stored within this site. Download Video
Download PDF

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top