SIKU YA 13 – SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA

Maombi ya siku 21, Wiki ya Pili

Siku ya 13, Tarehe 21 January 2023

Ombi Kuu: WANAWAKE;

SOMO: Dhamiria Kuwa mwanamke hodari katika BWANA.”

Yohana 20;1-2, 11-18

1. Ombea wanawake wote Mungu awawezeshe kutimiza wajibu wao ndani ya kanisa lao la mahali hadi taifa. Waefeso 6:10. Yoshua 1: 9.

2. Ombea wanawake wote kuwa wazazi wazuri katika familia zao. Luka 1:42

3. Ombea wanawake wajane Mungu awatetee. Zaburi 68:5-6. Zab 41:1 , Isaya 1:23, Isaya 10:1-2, Zekaria 7:8-10

– Wengi wanapitia changamoto nyingi.

4. Ombea Viongozi wote wa wanawake wa DPC hadi Taifa.         1Tim 2:1-2

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top