SIKU YA 8 – SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA

SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA 

WIKI YA PILI – 16/01/2023 JUMATATU

 OMBI KUU: IDARA YA UINJILISTI NA UMISHENI

1. Omba – Mungu aimarishe idara hii ya Uinjilisti na Umisheni hapa DPC na makanisa ya PAG (T) (Luka 10:1-11)

2. Omba Mungu ainue wamishenari wa ndani na nje watakaoenda kote kwa nguvu za Roho (Matayo 28:19-20)

3. Mungu ainue na kuongeza idadi ya

-Watumishi

-Makanisa

-Washirika kwenye makanisa yote ya PAG (T) (Matendo 6:7; Matendo 13:1-5)

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top