SIKU YA PILI – SIKU 21 ZA KUFUNGA NA KUOMBA

DSM Pentecostal Church

Maombi ya Kufunga na Kuomba: 

Wiki ya kwanza – Jumanne 10 Januari, 2023.

Ombi Kuu: UAMSHO 

1. Tuombee roho ya uamusho ndani yetu na familia zetu – Luka 11:9-13

2. Tuombee kiu na shauku ya kumtafuta Mungu na nguvu zake – 1 Nyakati 16:11

3. Tuombe nguvu za Roho Mtakatifu ziongezeke ndani yetu na juu yetu, ili matendo ya miujiza yafanyike, na watu wengi waokolewe – Luka 24:47-49

4. Tuombee na kuchochea utendaji kazi wa karama na vipawa vilivyo ndani yetu kwa ujasiri ili kumzalia Mungu matunda – 2Timotheo 1:6 -7

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top