MAOMBI YA KUFUNGA NA KUOMBA  (JUMANNE) 18/7/2023

MAOMBI YA KUFUNGA NA KUOMBA  18/7/2023

  1. MSHUKURU MUNGU KWA MAMBO ALIYO KUFANYIA
  2. Mshukuru Mungu kwa wema na uaminifu wake kwako Zaburi 9:1 – 2; Psalm 95:1 – 5  
  3. Mshukuru Mungu kwa zawadi ya uzima, wokovu, upaji, na ulinzi 2Sam 22: 1 – 3; Warumi 6:23 
  4. Mshukuru Mungu kwa ajili ya familia yako Zaburi 105: 1 – 4 
  5. Mshukuru Mungu kwa ajili ya familia ya DPC, Mungu amekuwa mwema kwetu 1Cor 1: 4 -5 
  6. Mshukuru Mungu kwa kwa amani na baraka tulizo nazo Tanzania 
  • OMBEA MAHITAJI YAKO BINAFSI
  • Ombea Maisha yako ya kimwili na kiroho Isaya 1:18; Luka 11:9
  • Ombea mipango yako  Mithali 19:21; Mithali 16:3 
  • Ombea familia yako, ndoa yako, Watoto, wazazi, mahusiano  Waef. 3: 20
  • Ombea kazi ya mikono yako Zaburi 90: 17; KUMB. 28:8; 1Nyakati 4:10 

Join the Discussion

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top